Msaada wa mawazo nimepata mchumba wa kisukuma

Msaada wa mawazo nimepata mchumba wa kisukuma

Siku hizi watu hawaangalii mambo ya ukabila,wengi waangalia jinsi mtu alivyo na tabia zake
 
watamu sana ... ila wapole sana siyo charming

Abhaaaas hapa umeharibu mwanaa!Ww umejuaje au umewaonja..kwa style gani cjui ngoja nitafute kwenye google!

Cuso

Ushauri kwako muowaji hakuna ujumla ktk kutafuta Nke hivyo ni jukumu la halmashauri ya ubongo wako kutest vigezo mwenyewe.Hadi unafikia uamuzi wa kutaka kumuoa ndo unaanza kutafuta tabia ilo ni jambo la ajabu sana kwani unakuwa umechelewa kiasi
 
Huyu wangu kwakweli ni mpole, mtaratibu, msikivu na mnyenyekevu. sa nashindwa kujua kama ndo tabia yake au ndiyo 4-4-2 yake anayoitumia ili kufanikisha ndoa?!
 
Abhaaaas hapa umeharibu mwanaa!Ww umejuaje au umewaonja..kwa style gani cjui ngoja nitafute kwenye google!

Cuso

Ushauri kwako muowaji hakuna ujumla ktk kutafuta Nke hivyo ni jukumu la halmashauri ya ubongo wako kutest vigezo mwenyewe.Hadi unafikia uamuzi wa kutaka kumuoa ndo unaanza kutafuta tabia ilo ni jambo la ajabu sana kwani unakuwa umechelewa kiasi

Kweli lakin wanasema hamna lisilowezekana ila tu mambo yapangwe vizuri.
 
ukiona wasukuma hawakufai jaribu warangi au Wambulu...
 
its too old to analyse a tribe instead of an individual
 
jaman mim nilikuwa na mchumba wa kisukuma ni msabato...nilimpenda kupita kias.kumbe yule dada alikuwa zaid ya kunguru tena firaun.amenitesa sana na ameniumiza sana.alikuwa anajifanya ni mwema kumbe ni mnafki mtakatifu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom