Anahitajika Msimamizi (Supervisor) katika Kampuni ya Ulinzi mkoa wa Dodoma

Captain 666

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2021
Posts
660
Reaction score
1,252
Kama ilivo mada.

Awe anajua kuendesha pikipiki na ana uzoefu katika usimamizi wa makampuni ya ulinzi.

Awe tayari kuanza kazi kesho na awe ni mkazi wa Dodoma.

My namba ni 0699626644.

Usije PM we kama upo tayari piga simu.

Connection hiyo sasa muendelee kulala majumbani ili maisha yazidi kuwa magumu.
 
Kwa hiyo unataka wa kwenda kukagua Malindo usiku na pikipiki au??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mnalipaje?
Kama ilivo mada.

Awe anajua kuendesha pikipiki na ana uzoefu katika usimamizi wa makampuni ya ulinzi.

Awe tayari kuanza kazi kesho na awe ni mkazi wa Dodoma.

My namba ni 0699626644.

Usije PM we kama upo tayari piga simu.

Connection hiyo sasa muendelee kulala majumbani ili maisha yazidi kuwa magumu.
 
Kama ilivo mada.

Awe anajua kuendesha pikipiki na ana uzoefu katika usimamizi wa makampuni ya ulinzi.

Awe tayari kuanza kazi kesho na awe ni mkazi wa Dodoma.

My namba ni 0699626644.

Usije PM we kama upo tayari piga simu.

Connection hiyo sasa muendelee kulala majumbani ili maisha yazidi kuwa magumu.
Kampuni gani ....

isiwe hizi local ambazo kulipa tu mshahara mpaka maandamano [emoji23]
 
Back
Top Bottom