JayEm
Member
- Apr 19, 2018
- 5
- 5
Ndugu zangu wana jamvi naomba mnisaidie mawazo ya kisheria na kikanuni. Kuna watumishi idara ya elimu msingi wamehamishwa tangu mwaka jana mwezi wa 5 lakini hawakulipwa fedha ya uhamisho.
Walidanganywa wakaripot vituo vya kazi kisha kupewa hela kidogo tu kama kiasi cha tsh 250,000 kwa maelezo kwamba malipo mengine yatafuata. Cha kushangaza hakuna juhudi zozote zinazooneshwa na mamlaka kuwa kuna malipo yatafanyika.
Ni kipi mtu anaweza kufanya ili kupata haki hii ninayoona kama vile inaenda kupotea au kuna uwezekano wa mtu kuipata hata akiwa amesha timiza umri wa kustaafu