Msaada wa mawazo kidogo

GTA

JF-Expert Member
Jul 25, 2013
878
649
libraries.jpg

Habari wakuu,
Mwaka 2018 ndo unakaribia kuanza. sasa nafikiria niongeze kitu kichwa. Nawaza nisome programming language kama C++ na python.
Napenda kupata taarifa kutoka kwenu wadau. Pia mwenye nondo za kutosha anaweza kushare hapa pia useful site za nondo za kutosha anaweza kuweka link.
Nilikuwa nawaza niwa face DIT, Kwani nilikuwa napitia kwenye tovuti yao kuona professional course qualification zao zikojo sijabahatika kupata taarifa via website yao. So kama kuna mtu na taarifa kidogo anaweza kushare.
Au site gani wako smart kufundisha online even kwa kulipia unaweza nisogezea pia.
Nilikuwa nimeanza na udemy.
Karibu wadau
 
Back
Top Bottom