MSAADA WA MAWAZO KATIKA KUANZISHA BLOG

ubelito

Senior Member
May 19, 2015
169
259
Waku habari zenu ni matumaini yangu mpo poa

Niende kwenye mda moja kwa moja nina mpango wa kufungua blog yangu hii ni kwajir ya kuongeza kipato pia nina muda wa kufanyia kazi iyo blog mana muda mwingi nakuwa nashinda na pc yangu

Shida inapokuja ni ipi nzuri kati kufungua blog kwa tumia

Blogger au WordPress

Kupost contents za kiswahili au kingereza

Je google Adsense wanaweza nipa matangazo yao nikipost contents za kiswahili

Pia ni vigezo gani vinahitajika kupata matangazo ya google na itanichukua muda gani kuyapata

Je kama ntatumia domain ya blogspot.com bado ntakuwa na nafasi ya kupata matangazo kutoka kwa google au sehemu zingine,, mana naona michuzi yy anatumia blogspot tu

Naomba msaada kwa mwenyewe ufahamu mzuri kuhusu ivyo vitu pia na mchango mwingine wa mawazo kama kipo cha kuongeza nitashukuru sana
 
Wordpress kutokana na uhuru wa ku-customize kutokana na uwepo wa plugins nyingi, wordpress.org na si wordpress.com

Kupost contents za kiswahili au kingereza
Ni chagua lako kutokana na walengwa unaotaka kuwaandikia na factors zingine

Je google Adsense wanaweza nipa matangazo yao nikipost contents za kiswahili
Kiswahili sio moja ya lugha ambayo google adsense inasupport, hivyo maombi yako yatakataliwa.

Pia ni vigezo gani vinahitajika kupata matangazo ya google na itanichukua muda gani kuyapata

Je kama ntatumia domain ya blogspot.com bado ntakuwa na nafasi ya kupata matangazo kutoka kwa google au sehemu zingine,, mana naona michuzi yy anatumia blogspot tu
Inakubali ila itachukua muda, top domain ndio nzuri.
Michuzi hategemei adsense kwenye blog yake, lakini pia sababu nyingine kuna vijana walifanya 'uhuni' wa kununua domain michuzi.com halafu wanauza $3000 na zaidi.

Naomba msaada kwa mwenyewe ufahamu mzuri kuhusu ivyo vitu pia na mchango mwingine wa mawazo kama kipo cha kuongeza nitashukuru sana
Ukigoogle na jukwaa la technology nyuzi za zamani za adsense zina msaada zaidi.
 
Back
Top Bottom