Katika kupitia rasimu ya pili ya Katiba, nimeona kipengele kinachosema kila jimbo litakuwa na Wabunge wawili, yaani Me na Ke. Hili jambo lipo sura ya tisa, (b) 3. Hili limekaaje kwa wenye Mawazo mapana?