Msaada wa mawazo juu ya wabunge hawa wawili

RECEIPT

JF-Expert Member
Nov 6, 2013
284
198
Katika kupitia rasimu ya pili ya Katiba, nimeona kipengele kinachosema kila jimbo litakuwa na Wabunge wawili, yaani Me na Ke.

Hili jambo lipo sura ya tisa, (b) 3. Hili limekaaje kwa wenye Mawazo mapana?
 
Back
Top Bottom