msaada wa mawazo jamani

Kama ndio hivyo we mchukulie kama alivyo ilimradi hajakufukuza na wala hakupigi we kaa tu atabadilika mwenyewe kama angekuwa akupendi naisi hata hao watoto usingekua nao! Angalizo kwa kuwa haujui msimamo wake hako ka mshahara kako usikamalize kote tunza maana moyo wa mtu kichaka ata lolote likitokea una pa kuanzia. mi mwenyewe kuachana na mume naona aibu kweli.
 

you know what sis, nimekuwa touched na ushauri wako sababu kiukweli sina mtu wa kunishauri sababu siwezi kwenda kusema matatizo yangu kwa watu wanaotujua na bahati nzuri sina dada miye na mama yangu siwezi kumuambia coz anampenda sana mume wangu na mume wangu naye anampenda mno lakini hajui kuwa tukiachana naye binti yake nafa., what i have write above is my true story.kiukweli sitaki kuharibu ndoa yangu at any cost though najua mimi si mvumilivu.nitajaribu kufanya hicho dada yako alichokifanya ingawa naona inahitaji Mungu anisaidie.

anyway, salute.thanks
 

umeona eh?ni aibu kubwa sana lakini ndiyo yapasa kuwa na moyo mgumu. kiukweli hawezi kunipiga he will never dare, kweli akininyooshea hata mkono kunipiga hata kama haukufika mwilini mwangu that will be the end yaani sitajishauri nitakuwa na sababu ya muhimu kabisa isiyovumilika, though siyo mwanaume wa hivyo huyu. he is gentleman kila eneo kasoro kwangu tu.watoto tumezaa, siyo kwamba kila siku anakuwa hivyo kwa wiki siku mbili tunaongea vizuri na tunazaa watoto siku tano ninapewa maneno makali. mwaya ndiyo nimeshtuka ndugu nimeanza kusave tu hela ila kama amenishtukia anasema hela ziko wapi namwambia kuna wakati mshahara hauingizwi ila watakuja kutulipa areas.hahaa nacheka lakini naumia, i want us to be in love, romantic like kwenye tamthilia hivi kidogo lakini ndiyo hivyoo and it were like that when we were dating, but mhhh ndoaa inabadilisha naona
 
some people wanataka kujua my side, yes hata yeye anacomplain about me, its like he does not want challenges kwenye kila kitu, he is a true african man, typical!and my gudness labda hivi vidarasa vinatuharibu coz ni kweli nina mchallenge sana and i cant stay kimya while naona hili si sawa or i can advice, ninamwambia lakini siyo kwa namna mbaya ya kumdharau just challenging him kwa heshima.

then anapenda nifanye kazi za home mimi sana kuliko wasichana hasa kumpikia, but nitawezaje naondoka home saa kumi nambili na nusu narudi home saa moja na nusu usiku hoi, siwezi kwenda kupika at that time na mimi natamani kupumzika na kuangalia watoto, basi hacomplain sana kwenye hili lakini ndivyo anavyopenda.hataki hata niwaelekeze mabinti hapa nyumbani ye anaona kama ninawanyanyasa si kweli, si wanyanyasi nawaelekeza jinsi navyotaka siwezi kumnyanyasa watu wanaonilelea watoto wangu na kuwafundisha, coz i hardly stay with them, lakini yeye ndiyo hataki.anataka tuishi maisha ambayo siyo, ikitokea leo nimenunua soda basi ni lazima zinunuliwe soda za nyumba zima hakuna chaa peke yako, si kwamba sitaki wanywe lakini si kila siku utakuwa na hela ya kununulia soda nyumba nzima. about money tulipokuwa tunaoana he used to give me his atm card na mimi ndiyo nilikuwa nampa hela yeye lakini ikawa inatokea hela inakwisha b4 hata mwezi kuisha akakasirika akaninyang'anya card yake but ndiyo mpaka leo siijui tena,sema akipandishiwa mshahara kila baada ya muda fulani ananiambia.ila ndiyo sizijui hela yake.na hivi tunafanya kazi wote ndiyo balaa.hata kunipa alfu kumi hii ongezea mke wangu ukasuke nywele hakuna.hayo ndiyo anayolalamikia sana
 
Kuna mambo ya kuyachunguza:

1.Je anafanya mapenzi na wanawake katika ndoto? Kama jibu ni ndiyo, basi mumeo anasumbuliwa na Spiritual Wife a
mbaye kamwe hafurahii kushare huyo mwanamume na wewe.

2. Je anatoka ukoo wa kichief, waganga wa kienyeji au waabudu mizimu? Kama jibu ni ndio, basi yawezekana alitolewa
kafara (kukabidhiwa) kwa mizimu alipokuwa mtoto mdogo

3. Je alishajihudhurisha katika ibada za Cults ( religion cult Or Non religion cults e.g. Freemason), kama jibu ni ndiyo,
basi kuna maagano aliyoingia yanayomzuia kuoa ambapo kuna roho zinamfuatia.

Iwapo kuna mojawapo ya hayo hapo juu ni sahihi, basi nitumie private message nikuambie nini chakufanya.Natambua baadhi ya wana JF wangetamani kupata undani wa majibu ya hayo maswali, lakini kwa kuyaangalia utaona hayo mambo they are so private to be shared to the public.Ahsante



 
Watu wengine bwana, wanafikiri ukimwoa mtu basi ni kumtesa tuuuuu! Hapa kuna mambo mengi sana yanachangia tatizo hilo!
Kwanza ni elimu ndogo miongoni mwa baadhi ya wanaume au hata wapenzi wote kwa ujumla. Hawaelewi wantaka nini katika mahusiano.
Pili ukosefu wa Imani ya dhati miongoni mwa wapenzi. Hawamwamini Mungu na kusudi la Mungu katika ndoa.Mwanamke aliumbwa baadaye kwaajili ya mwanamume.
Tatu, umaskini miongoni mwa wanandoa ambapo frustration za maisha na utaftaji wa kipato wanyaleta yote katika mahusiano. Mwanamume anatafuta weak point ya ku release tension zake so ni kwa mwanamke!
Nne ni inferiority complex miongoni mwa vidume ambavyo haviwezi kuexercise ubabe nje ya familia so vinataka kuleta ubabe ndani!!!
Jamani wadau! Mungu alituumbia wanawake baada ya maisha kushindikana kwa Adam katika bustani ya Eden. Mungu alituumbia faraja kubwa sana kwakuwa alitupenda upeo!! Leo faraja ile tunai abuse namna hii kweli. Hapo kabla nilisoma thread ya mtu anasema mumewe anataka mapenzi kinyume cha maumbile!! What a big abuse kwa uumbaji wa faraja ya Mungu kwa Mwanaume!! Hata mngeumbiwa malaika bado mngetaka tigo tu laana nyie!
Dada yangu mpendwa, mwombee Mumeo kwa Mungu kila siku kwa matumaini na atajirkebisha tu maana wengi walikuwa hivyo wamejirudi!!!
 
kikubwa nilichogundua hapa hakuna mgogoro wa ndoa , lakini kuna okosefu wa elimu ya ndoa na mahusiano .... haingii akilini mwanamke unaamua kwenda kulala nje ya familia yako ukitegemea uje uulizwe kuwa ulilala wapi leo ...ndo ujue kuwa unapendwa
 

Wewe ndio chanjo cha matatizo, yaani mumeo kutaka ununue soda ya familia nzima unaona tatizo, kama pesa haitoshi hutakiwi kununua, mumeo malengo yake ni kuwa na familia yenye mshikamano ndio maana anakugombeza, msikilize mumeo mtaishi vzur
 
Dada yangu, kwanza shikamoo
Pili pole kwa hayo yanayokusibu
Tatu ushauri wangu kwangu. Mimi wacha nikupe ushauri kutoka kwenye biblia.1 Petro 3:9
Warumi 12:14-22
Wewe zidisha upendo katika nyumba yako. Mwonyeshe upendo zaidi na zaidi. Akirudi nyumbani, mwekee maji ya kuoga, muulize kazi vipi, muandalie chakula apendacho, n.k
Mwoneshe upendo na hii itakuwa nguzo itakayofanya moyo wake ubadilike

Nitoe quote "Love can melt even the hardest of hearts"
Upendo huweza kuyeyusha/kulainisha hata moyo ulio mgumu kuliko yote.

Huu ndio ushauri wangu.
Ntakuombea pia, na Mungu atakusaidia
 
@
joda
mtoa mada, fuata ushauri huu.
ameelezea kwa undani kile nilichotaka kueleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…