Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa mawazo emergency........

Discussion in 'JF Doctor' started by vkeisy2006, May 26, 2010.

 1. vkeisy2006

  vkeisy2006 JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 205
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kuna rafiki yangu ameolewa miaka 5iliyopita amepata tatizo anashindwa alitatuaje coz bado hata hospitali hajaenda alianza period tarehe 29.03.2010...baada ya.....hapo akakutana kimwili na mume wake na pia anamwanaume mwingine nje...sasa baada ya period tarehe 11 amekutana na huyo mwanaume wake wa nje sasa mpaka leo hajaon a period yake kupima na UPT...imeonyesha positive....SWALI NI HILI...je possibility kubwa mimba itakua ya nani,mume au wa nje..naomba jibu hili liwe kulingana na zile siku za hatari...na je vipimo vile vya hospitali huwa vinaonyesha mimba ina muda gani...yani je huwa vinaonyesha mimba ina siku ngapi?.........................
   
 2. C

  CLAY KITUMBOY Senior Member

  #2
  May 26, 2010
  Joined: Sep 8, 2009
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ngoja mtoto azaliwe halafu ufanye DNA.Wala usisumbuke kuewaza kitu hicho kila mtu atakuja theory yake,UNAONAJE?
   
 3. vkeisy2006

  vkeisy2006 JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 205
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  what if mtoto atakua sio wa mume kutakalika kweli humo ndani
   
 4. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,722
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  Tarehe 29 period, na tarehe 11 mambo fulani, hiyo ni mimba ya jamaa 80%. Tarehe 29 mpaka 11 hizo ni siku 14 kamili na ndio siku ya ovulation kikawaida hata kama alichelewa ku ovulate tuseme kesho yake bado mimba itatungwa tu manake hao jamaa wanakaa mda hadi siku saba kwenye follopian tube!
   
 5. Kobe

  Kobe JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 1,664
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  Nalia....... nalia......... mwanaume mwenzangu anavyoibiwa halali yake hivi lini sisi wanadamu tutaogopa kufanya hizi dhambi kubwa kubwa na ndogo ndogo ili tuwe wakamilifu tayari tayari kukutana na mola huku hali tukiwa wasafi kwenye roho zetu na viwiliwili vyetu.
  Hii hali kwa kweli inasikitisha sana manake sasa binadamu sisi tunachukulia suala la kawaida sana.
   
 6. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2010
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 1,235
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Acheni kushauriana umalaya!yaani yupo kwenye ndoa na hapohapo ana mwanaume mwingine!
  Shame on her!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 7. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 13,531
  Likes Received: 899
  Trophy Points: 280
  Sasa unauliza majibu na wewe bwana? Wewe unategemea kukalike?
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,074
  Likes Received: 1,321
  Trophy Points: 280
  Sikumbuki kukuona ukikemea wanaume wenye dilema kama hizi!I stand to be corrected though.....!
   
 9. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #9
  May 26, 2010
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 954
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45


  Duh,
  Hii ka-PM Maindainda anaweza kukushauri vizuri.
   
 10. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #10
  May 26, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 42,650
  Likes Received: 5,557
  Trophy Points: 280
  Pole sana Vkeisy (jina lako gumu kweli).

  Vipi ilikuwaje ukacheza mechi za mchangani bila kuvaa njumu? Nakushauri kafanye abortion then next time tumia kondom ukiamua kumsaliti mumeo.
   
 11. C

  Consultant JF-Expert Member

  #11
  May 27, 2010
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 3,165
  Likes Received: 1,067
  Trophy Points: 280
  Mwambie ajiue tu maana siku yake ya '40' ndo imeshafika. Kama ni wewe mwenyewe, well, I don't know what to advice you
   
 12. b

  blackpepper JF-Expert Member

  #12
  May 27, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 382
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mwambie huyo rafiki yako aache ukicheche.....tena na wewe kam ushoga wako na wake ni wa ukicheche uache mara moja####
   
 13. s

  shwishwi Member

  #13
  May 27, 2010
  Joined: May 21, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  too sad ana cheat halafu hatumii ata kinga???
   
 14. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #14
  May 27, 2010
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  yaani yule aliyekuwa anakusumbua unamlisha na kumpa nauli ndo umeamua kumsaliti utoke nje ya ndoa kabisa...duh, we kiboko...ndo maana jamaa alikuwa hana future na wewe aisee. mtu akifanya kosa kama hili, ni kwamba amepakua ugali sahani nzima, anatakiwa aule hadi tonge la mwisho, kama mbona ina pilipili, chumvi nyingi, sijui ina nini itabidi ugali uishe...umeligoroga, itabidu ukubali kulinywa lote kisibaki kitu. hapo ndo wazinzi na waasherati ndo watapata akili.
   
 15. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #15
  May 27, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,711
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  duh! kimewaka! haya matumbo ya opposition gender yanafichaga mambo mengi kweli. ukisoma sredi kama hii ndio mara unajishtukia unampiga chabo mtoto wako mwenyewe akiwa bafuni. (unataka kusibitisha kama wako)
   
 16. Mpeni sifa Yesu

  Mpeni sifa Yesu JF-Expert Member

  #16
  May 27, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  uzinzi siku zote hauna faida.
   
 17. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #17
  May 27, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,289
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  Mshindwe mambo gani sasa haya tunashauriana? mie nilijua mtu anatatizo la haja? kwa mtaji huu iko siku atakurupuka mtu anadai anataka ushauri anampenda mwanaume mwenzake :angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry:
   
 18. K

  Katabazi JF-Expert Member

  #18
  May 27, 2010
  Joined: Feb 18, 2007
  Messages: 355
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mengine yatapata washauri wazuri,ila MAISHA KWANZA,mwambie akapime HIV kwanza,hayo mengine ni solvable,kama yuko negative mwambie ani PM nina exact case!Kama ni positive mwambie amuokoe mume na kwa kipindi hiki amkalie mbali jamaa yetu isije ikaonekana kuwa yeye ndie kauleta. Nina furaha kuwa siku hizi kina dada hawaoni soo-kusema ninapigia miguu 2 kama Ronaldo,tena bila njumu wala kinga! Duuu hii dunia tunaimaliza wenyewe!
   
 19. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #19
  May 27, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,788
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Hii thread inazidi kunikumbusha umuhimu wa DNA kwa watoto ingawa majority ya SHEs walinipinga

  Vkessy, subiri akizaa ndio utajua maana ya "mtoto mtembezi atakula miguu yake"!!
   
 20. C

  Consultant JF-Expert Member

  #20
  May 27, 2010
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 3,165
  Likes Received: 1,067
  Trophy Points: 280
  De novo, Hivi hii huduma DNA kwa TZ inapatikana wapi na inapima NINI zaidi ili kufikia conclusion? how accurate?
   
Loading...