Msaada wa mawazo: Baada ya kutoa kishika uchumba inachukua muda gani mpaka kulipa mahari?

Samahani wadau, nauliza inachukua muda gani mtu akikupa hela ya uchumba mpaka kuja kutoa mahari( kujitambulisha)?

Mpenzi wangu kanipa hela ya uchumba mwezi huu atakuja mwezi wa pili. Je, ni sawa?

Alifuata utaratibu kama huu kwenye video?

Samahani wadau, nauliza inachukua muda gani mtu akikupa hela ya uchumba mpaka kuja kutoa mahari( kujitambulisha)?

Mpenzi wangu kanipa hela ya uchumba mwezi huu atakuja mwezi wa pili. Je, ni sawa?

hahahahahahahahahahahaahh :) amekupa ? aisee kakupa pesa ngapi
 
Kishika uchumba zama hizi ni Mimba kisha ndoa....mahari unalipa nusu nusu baada ya ndoa.
 
Samahani wadau, nauliza inachukua muda gani mtu akikupa hela ya uchumba mpaka kuja kutoa mahari( kujitambulisha)?

Mpenzi wangu kanipa hela ya uchumba mwezi huu atakuja mwezi wa pili. Je, ni sawa?
Inategemea na makubaliano yenu kma ameshaleta barua na ukakubali kuwa utaolewa na wazaz wakakuuliza tujibu barua hii ukasema ndio bac wazaz wabawajibu wazaz wa upande wa mwanaume then wao watawaambia lini wanaleta hyo mahali na hapo ndipo watapanga kabsa tarhe ya ndoa.huo ni uelew wng
 
Back
Top Bottom