Beberu Mwitu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2019
- 491
- 693
Habari za asubuhi wana JF,
Niende moja kwa moja kwenye jambo langu. Siku kadhaa zilizopita nilijisajili na mfumo wa kuomba kozi mojawapo pale chuo kikuu huria. Nilikamilisha taratibu zote na baada ya hapo nikapewa password ili nikamilishe taratibu za maombi.
Nilipotoka kwenye mfumo na kujaribu kurejea tena, nikaambiwa password si sahihi.
Nimejaribu kufanya reset kupitia tovuti yao lakini naletewa error code. Namba zao hazipatikani kabisa. Hivyo nimekosa usaidizi. Kama kuna yeyote anayejua mawasiliano yao, naomba tafadhali.
Shukrani