hata nami nimeelimika
mkuu upo long time no see you majukumu mengi sana nini pamoja sana..
Pole sana BigMan,
Nimekwisha kuona kuwa hili ni tatizo la wengi sana na si wewe pekee; naomba nikuelekeze kama ifuatavyo:
Bonyeza "Settings" kwenye iPad yako; kisha tafuta sehemu ya "General" na hapo vuta mpaka chini utaona sehemu imeandikwa "keyboard"; hapo ndipo pana maelekezo ya nini cha kufanya ('On' & 'Off' options).
Karibu sana
Mkuu wangu,Nina tatizo pia la chat nikiwa fb, huwa na uwezo wa kuchat na mtu mmoja tu, nikiwajibu wengine inaji-off naanza kulog in upya.
Hili tatizo limekuja recently sijui ni nini linanikera sana, naomba msaada wako Invisible, na wataalamu wengine.
Nina tatizo pia la chat nikiwa fb, huwa na uwezo wa kuchat na mtu mmoja tu, nikiwajibu wengine inaji-off naanza kulog in upya.
Hili tatizo limekuja recently sijui ni nini linanikera sana, naomba msaada wako Invisible, na wataalamu wengine.
Ngoja nijaribu ku-download new application ya fb.Mkuu wangu,
Maelezo yako magumu kidogo.
Nini inaji-OFF? You mean, iPad inajizima?
Which application are you using for FB chats? Did you update it?
Umeona kuwa maelezo yako yanahitaji nyama zaidi?
wewe unahitaji kutumia facebook application for iPad. Usitumie safari. Smartphones zote usipotumia applications zake huwezi kuchat on fb. Utachat bila matatizo uki-download hizi.
Pia hakikisha OS ya iPad yako imekuwa upgraded. Vinginevyo unatwanga maji kwenye kinuThanks! Let me do that.
Biohazard,
Unaweza usiamini, hili ni tatizo la wengi sana si hapa JF tu, hadi nje ya JF. Ni vema kuelekezana ili watumie devices hizi kwa raha bila karaha ndogo ndogo
Pia hakikisha OS ya iPad yako imekuwa upgraded. Vinginevyo unatwanga maji kwenye kinu
oa