Sangoma
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 344
- 165
waungwana habari za majukumu na imani mungu anasaidia niko na shida inayoitaji mtu mwenye uelewa mpana kiasi nimenunua box mpya kwa ajili ya kuunlock simu box zenyewe ni sigma na volcano utata umekuja kwenye atumizi nimeshindwa nianzie wapi plz mwenye kuwa na uwelewa na hizo box twaja msaada tafadhari hata mwenyekuwa na link aweke hapa ziweze kupata mwanga plz waungwana msaada wenu unahitajika kwa hali na mali yangu hayo tu nangojea msaada wenu waungwana.