Tatizo sijawahi iona syllabus yake! I have searched and found none! Hata shule kongwe huku hawana.......na hapo ndo tatzo linapoanzia!Literature in English ni literature tu mkuu , japo Mimi sijaisoma lakini suala la muhim chek syllabus yake ili ujue contents zake , general na specific objectives baada ya hapo utakuwa vizur .
Hakuna syllabus ya as literature! Ipo ya english general na kama wewe ni mwalimu wa hilo somo si uanze ku compile notes zako mkuu???Tatizo sijawahi iona syllabus yake! I have searched and found none! Hata shule kongwe huku hawana.......na hapo ndo tatzo linapoanzia!
Ni somo independent na linatakiwa liwe na syllabus yake pia.Hakuna syllabus ya as literature! Ipo ya english general na kama wewe ni mwalimu wa hilo somo si uanze ku compile notes zako mkuu???
Wizara gani haijatoa hiyo syllabus sema wewe hujaipata na hujatafuta! Kwa nini hatuna utamamaduni wa kufanya utafiti wa kutosha? Pia watu waelewe tunaongelea literature in English na sio English language subject in Tanzania!Mpaka sasa hivi wizara haijatoa syllabus ya literature in English kinachotakiwa ni kutafuta mwalimu ambaye anafundisha hilo somo akakupa uzoefu
Kuna theory of Literature ambayo ndo introduction to literature, play, novel,poetry. NOTE: Ni play moja tu ya The Lion and The Jewel ndo inaingiliana na English ya darasani, BUT zaidi kuna kitabu kimeandikwa na Meshack Yogo na Godfrey Bukagire kiko vizuri kina kila kitu na vipo kwenye libraries mbalimbali.Wadau nahitaji materials ya Literature in English O-level. Nimepangiwa kufundisha hilo somo ambalo limekuwa introduced for the first time hapa shuleni! Mwenye uzoefu yeyote anaeza nisaidia 'experience package' aliyonayo nipate mwanga. For any softcopy materials please send me via sombombo@gmail.com.
Thank you in advance
Poems: selected poems of EANi kweli hadi leo Syllabus ya hilo somo haipo na bado mitihani Necta wanatoa na wanataka mwanafunzi afaulu.It is weird and absurd.Plays kwenye Literature in English ni hizi:The Lion and the Jewel,The Trials of Brother Jero,The Swamp Dwellers,Kinjekitile,Dillema of a Ghost,The Barbed Wire, Dedan Kimati, The Government Inspector.
Mkuu wewe syllabus ya Literature in English unayo? Au una access ya kuipata?Wizara gani haijatoa hiyo syllabus sema wewe hujaipata na hujatafuta! Kwa nini hatuna utamamaduni wa kufanya utafiti wa kutosha? Pia watu waelewe tunaongelea literature in English na sio English language subject in Tanzania!
Sina ila kama mdau wa mambo hayo najua ipo na hata madukani zipo, mtu wa karibu yangu anafundisha hilo somo na anayo....tatizo ni kwamba shule zinazofundisha hilo somo ni chache hasa kwenye mikoa mingi kwa hiyo hata wauzaji wa materials hizo hawaoni uhitaji mkubwa wa kuleta!Mkuu wewe syllabus ya Literature in English unayo? Au una access ya kuipata?