Msaada wa mashamba ya kununua Morogoro

Rossoneri

Senior Member
Mar 29, 2015
141
146
Naomba kufahamu upatikanaji na gharama za mashamba ya kununua katika mkoa wa Morogoro hasa kwa maeneo ya ifakara,mahenge,malinyi,itete,mang'ula na maeneo mengine kuacha wilaya hizo.naomba msaada kwa wenyeji wa maeneo hayo.
Maeneo yakiwa kwenye ardhi ambayo haijatumika kwa maana ya pori na uwezekano uwepo wa chanzo cha maji itakua vizuri zaidi.
 
Nina mashamba makubwa maeneo ya mzumbe ,

Heka moja ni laki 4

Jumla ya hekari ni 15

0655 944 268
 
Nina mashamba makubwa maeneo ya mzumbe ,

Heka moja ni laki 4

Jumla ya hekari ni 15

0655 944 268
Ni ardhi ambayo haijatumika au iilishawah tumika?
Umbali gani kutoka mzumbe hapo na eneo linategemea kilimo cha mvua au kuna vyanzo vya maji kwaajili ya umwagiliaji?
 
Ni ardhi ambayo haijatumika au iilishawah tumika?
Umbali gani kutoka mzumbe hapo na eneo linategemea kilimo cha mvua au kuna vyanzo vya maji kwaajili ya umwagiliaji?
Komred,,, si unge andika sifa za hayo maeneo unayo yataka wewe !

Bandiko lako linasema unataka mashamba morogoro,
.
Umehakikishiwa kuwa mashamba yapo,

2 km from mzumbe chuo !

.shamba ni zuri kwa kilimo cha kutegemea mvua
 
Cool,nimekupata champ
 
Back
Top Bottom