HAHAHAHA UMETISHA MKUUKuna buffalo hotel, leopard hotel , kindoroko hotel ni hotel ambazo utaona mandheri ya moshi vizuri na ni katikati ya mji
ZEBRA UMEISAHAUKuna buffalo hotel, leopard hotel , kindoroko hotel ni hotel ambazo utaona mandheri ya moshi vizuri na ni katikati ya mji
Mhhh hilo jina lako tuu hakika wew ni wakutumbuliwa[emoji12]Ukimaliza kazi zako jioni panda coaster nenda kalale arusha, usubuhi tena unapanda coaster unarudi moshi unafanya kazi. Arusha utaenjoy mambo mengi kuliko moshi
Mkuu njoo ukae kwangu kuna room haina mtu,lakini ni store.Jumatatu natarajia kuwa Moshi mjin ntakaa cku tatu,naomba kwa anaejua hotel ya karibu na stand bei nafuu anijuze,serious
[emoji1] [emoji1] Mkuu unataka hotel yenye room kuanzia bei gani nikutaftieWe wa kutumbuliwa kabisa,cjaomba msaada wa hifadhi kwa mtu,nataka hotel mkuu
Okay subiri nitakupa majibu muda si mrefuRoom ya 40,000/