Msaada wa Magic Remote na LG Tv

May 20, 2015
74
44
Power button ya Magic Remote ya lg SM8100 inashindwa kuwasha na kuzima TV mpaka uisogelee kwa ukaribu sana ila functions zingine inafanya kama kawaida na kwa umbali wowote.

Njia nilizotumia na hazijazaa matunda.
1.Nimebadilisha battery na kuweka mpya.
2.Nine reset tv
3.Nili un pair na kuregister upya magic remote lakini bado haijasaidia.
Nina omba msaada wa kitaalamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom