Msaada ku-connect LG LED Tv na hometheater

Msaada ku-connect LG LED Tv na hometheater

lunatic

Member
Joined
Sep 24, 2016
Posts
63
Reaction score
19
1479997342860.jpg
1479997379444.jpg
Naomba msaada wakuu kwa anyejua jins gan naweza kuconnect TV yangu ya LED ya LG jins gan naweza kuiconnect na home theater aina ya sony.. kama nikiweka flash kwenye tv bila kutumia HDMI... port za tv yangu n hizo hapoo chini
 
connect audio cable 2 nyekundu na nyeupe kama zilivyo kwenye tv na theater, cable ya njano ya video. Au tumia HDMI cable.
 
Wadau LG LED smart TV 55" bei gani toleo la 2015 au 2016?
 
View attachment 438975View attachment 438976Naomba msaada wakuu kwa anyejua jins gan naweza kuconnect TV yangu ya LED ya LG jins gan naweza kuiconnect na home theater aina ya sony.. kama nikiweka flash kwenye tv bila kutumia HDMI... port za tv yangu n hizo hapoo chini
Piga picha inayoonekana vizuri kwenye port zote za hiyo tv. Yaani port zote hata kama inayo port ya headphone piga picha inayosomeka
 
connect audio cable 2 nyekundu na nyeupe kama zilivyo kwenye tv na theater, cable ya njano ya video. Au tumia HDMI cable.
Mwite fundi akuunganishie halafu vile vitenganishi vya deki,tv au king'amuzi karibu asili mia 95 ni vibovu unatakiwa ukinunua mpe fundi afungue halafu achomelee ndio vitafanya kazi sawa sawa.Bila kufanya hivyo ni kazi bure.
 
Piga picha inayoonekana vizuri kwenye port zote za hiyo tv. Yaani port zote hata kama inayo port ya headphone piga picha inayosomeka
haina port ya head phone nmegoogle nikagundua kwamba LG ya mwaka 2015 haina port ya hyoo ya headphone kwa hyoo model yangu sasabas kama kuna mtu anao uelewa kuhusu njia nyingne yoyote ambayo naweza hamsha saut nkatumia hometheater anisaidie
 
Mwite fundi akuunganishie halafu vile vitenganishi vya deki,tv au king'amuzi karibu asili mia 95 ni vibovu unatakiwa ukinunua mpe fundi afungue halafu achomelee ndio vitafanya kazi sawa sawa.Bila kufanya hivyo ni kazi bure.
okeee
 
nmegoogle nimekutana na kitu kinaitwa HDMI switch box... sasa sijui hii inaweza nisaidia... ???
kama kuna mtu anauelewa na hii kitu anisaidie
 
nashindwa kupata.. au kuzima internal audio
Ingia kwenye settings kisha changua sound kisha kwenye kipengele cha speaker weka off then sauti itahamia kwenye ur home theatre kwa msaada zaidi ni pm , maana hata mm nina Lg Led ilinipa tabu kwa mara ya kwanza but nilicheza na settings
 
hebu nielekeze ulvyofanya setting za tv yakoo ... mkuu
 
Back
Top Bottom