Andres
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 501
- 791
Nina LG Led 49 ( Lj515V-Zd), Na nina Radio aina ya Aborder na speaker zake. Sasa nikiweka Flash kwenye Tv nikaconnect na zile nyaya nyeupe na nyekundu kwenye Radio na Tv, Bado sauti naiskia haiji kwenye speaker. Sasa nafanyaje wakuu ? Na kwenye tv wala radio sijaona port kama zile za earphone Msaada jamani kwa anayefahamu ?