OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,326
- 104,264
Anywe maji mengi tu na mazoezi.Kama mnavojua msichana akijifungua,mng'aro wa ngozi yake huweza kufifia.hasa weupe sana ndo huadhirika zaidi.Kwa hivo ni mafuta yapi yanafaa kung'arisha ngozi hiyo.isiwe mkorogo
Na kwasie ngozi yenye mafuta unatusaidiaje?FANYA YAFUATAYO:
Tengeneza juice ya carrot ukiweza mix embe na watermelon Ila carrots juice ndiyo inatakiwa iwe na nguvu. Ukiweza tumia asali au weka kiasi kidogo sana cha sukari.
MATUMIZI:
Kunywa gass moja pale unapohisi kwenda kulala (before bed time).
Asubuhi pia kabla ya breakfast table.
MATOKEO:
Baada ya week na siku kadhaa.
Ngozi kuwa nyororo, nzuri kama ya hako katoto halikojifungua.
MUHIMU: Ukishindwa nitafute -Andaa na Ada ya darasa!!.
MATAYARISHO:Na kwasie ngozi yenye mafuta unatusaidiaje?
Hiyo natakiwa kufanya kwa muda gani? Au ni unlimitWauza vipodozi pale mwenge wamechemka siyo? Ahahahaaaa.MATAYARISHO:
Kwa kuanzia; Maji ya limao au maganda yake ya juu changanya na chumvi kidogo.
Maji ya uvuguvugu.
MATUMIZI:
Baada ya kuoga pakaa kwa uso then iache hapo 10mins kisha safisha uso mwa maji yako ya kuchemsha yaliyo uvuguvugu.
PIA maji yako ya kunywa wakati huu wa joto ni moto pia.
MUHIMU: Ukishindwa anicheck na Andaa ADA ya darasa.
Almost two to three weeks.Hiyo natakiwa kufanya kwa muda gani? Au ni unlimit
Okay ngoja nijaribuAlmost two to three weeks.
Kwi kwi kwi kwi kwi!! Duh huu si ushauri isipokuwa hasira tuAende na huko ubalozini akaibe tena.
Kama mnavojua msichana akijifungua,mng'aro wa ngozi yake huweza kufifia.Hasa weupe sana ndo huadhirika zaidi.Kwa hivyo ni mafuta yapi yanafaa kung'arisha ngozi hiyo,isiwe mkorogo.
Kama mnavojua msichana akijifungua,mng'aro wa ngozi yake huweza kufifia.Hasa weupe sana ndo huadhirika zaidi.Kwa hivyo ni mafuta yapi yanafaa kung'arisha ngozi hiyo,isiwe mkorogo.
Sh, ngapi
Tumia hiyo product ndugu haina Hydroquinone wala Mercury
Naona umeishakuza asee,ushapata mjukuu...Kama mnavojua msichana akijifungua,mng'aro wa ngozi yake huweza kufifia.Hasa weupe sana ndo huadhirika zaidi.Kwa hivyo ni mafuta yapi yanafaa kung'arisha ngozi hiyo,isiwe mkorogo.