Wakuu, naomba mlolongo wa kufuatilia mpaka kupata leseni kwa mtu ambaye amemaliza chuo na amepata cheti. Sifahamu chochote kuhusu hilo hivyo kwa yeyote anayefahamu naomba anieleweshe kistaarabu, ahsanteni!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.