Dogo mbna ujatulia!!
Minahis unatudanganya matokeo yako.
inaezekana hujapata dvsn2 ya 10!!
Kama unahuo ufaulu nakwambia jaza udsm ya kwanza medicine ukikosa labda siyo mm mzoefu!!
Last year UDSM MD walichukua mpaka Merit yaan dvsn2 na ilikua BRN mwaka huu wnyw dvsn 2 y mwanzo UDSM mnapata.
Ila kama umepata hyo point y nn uangaike na Hubert Kairuki.!?
1.UDSM
2.AJUCO
3.KAIRUKI
ALL THE BEST
ufaulu wako n mkubwa Donworry about cmpttn from other applicant.