DENICE ADRIAN
Senior Member
- Feb 14, 2014
- 127
- 30
Sababu za kufuta machaguo ya kwanza?mimi leo nimefuta machaguo ya vyuo huko tcu na nkaanza kuomba upya.nimeomba HUBERT KAILUKI COZ YA MD BT NIMEKUTA watu 172 wameomba hv mm naweza kupata nafasi kwel ukiangalia nafas zilizopo ni 170. mm nina two ya 10 ya pcb .phy d chem c bios c bam s g.s e...msaada plz
nilikuwa na edit machaguoSababu za kufuta machaguo ya kwanza?
WAFUNGWA WAKO GEREZANI.........MARA WANASIKIA VISHINDO VYA HATUA VIKIPITA NJE YA GEREZA.......MMOJA WAO ANAULIZA "NI AFANDE NANI HUYO".....
hv tcu hawaangalii na muda ulioomba chuo?kama kuna applicants umewazidi kwa performance unaweza kupata.. mda mwingine wakiongezeka wawili watatu zaidi ya ile idadi iliyopangwa wanachukua wote.. usiwe na hofu.
kivipi?hv tcu hawaangalii na muda ulioomba chuo?
labda wameomba 30 na nafas zpo 20 lkn ww umefaulu zaid ya yule aliyeimba mapema vp hpo unaweza pta nafsi?kivipi?
hio haipo, wanaangalia uwezo.labda wameomba 30 na nafas zpo 20 lkn ww umefaulu zaid ya yule aliyeimba mapema vp hpo unaweza pta nafsi?
inaonekana una uzoefu mkuu! hebu nsaidie tena..mfano mm niliaply ktambo bt nimekuwa nkifanya edtt bila kuprint coz nliprint awali kipind naanza kuaply vp kuna haja ya kuprint baada ya edtt!hio haipo, wanaangalia uwezo.
Dogo mbna ujatulia!!mimi leo nimefuta machaguo ya vyuo huko tcu na nkaanza kuomba upya.nimeomba HUBERT KAILUKI COZ YA MD BT NIMEKUTA watu 172 wameomba hv mm naweza kupata nafasi kwel ukiangalia nafas zilizopo ni 170. mm nina two ya 10 ya pcb .phy d chem c bios c bam s g.s e...msaada plz
wanaoprint ni wale wanaopenda kuweka kumbukumbu ya vyuo walivyoapply, sio must!inaonekana una uzoefu mkuu! hebu nsaidie tena..mfano mm niliaply ktambo bt nimekuwa nkifanya edtt bila kuprint coz nliprint awali kipind naanza kuaply vp kuna haja ya kuprint baada ya edtt!
Hakijafungiwa, Kilichofungiwa ni IMTU.Jamani hicho chuo si kimefungiwa????
sawa mkuuMdogo wangu huyu ana wenge anahangaika kinoma.Skia dogo kama kwenu wapo vizuri kipesa acha hivyo hivyo na nakuahidi utachaguliwa hiyo first priority