Msaada wa lodge au hotel nzuri-Africana Mbezi Beach

Msaada wa lodge au hotel nzuri-Africana Mbezi Beach

Nenda Ozone lounge, Kuna Lounge, Club, Bar na Lodge hapo hapo, Lodge imejificha vizuri, bei zao ni kawaida, ipo Salasala, Mbezi ya Africana Kuna njia ya vumbi kwenda juu!
 
mimi ni mtu mwingine...natafuta lodge iliyojificha ambayo inakua mtu unaeza ukaingia na mchepuko na asionekane na watu wengi
usionekane na watu wengine kivipi kwani haow wahudumu hawatakuona? labda utafute lodge ambayo haina wahudumu sas sijui ipo dunia gani?
 
usionekane na watu wengine kivipi kwani haow wahudumu hawatakuona? labda utafute lodge ambayo haina wahudumu sas sijui ipo dunia gani?
no, sifa za lodge ambayo huonekani na watu wengi ni ile ambayo, kwanza haina parking kubwa ya magari, pili reception yake ni ndogo na ambayo haina sehemu ya watu kupumzikia hapa namaanisha kwamba reception inakua only na chumba cha mhudumu. Tatu, inakua mtaa ambao magari mengi hayapiti yaani kwa kizungu off road vilevile inakua ni nzuri zaidi ikiwa ipo katika mtaa ambao hautoki yaan mtaa ambao mwisho kuna nyumba za watu hivyo katika mtaa huo magari hayapiti piti.
 
Viva Vila Hotel - Mbezi Africana, uliza madereva taxi, bodaboda utafikishwa bila taabu

dou1.jpg
Chumba kizuri ila mtandikaji mmmh
 
Bei gani kwa usiku mmoja?
Viva villa pamechoka sana, lodge ya mwaka 2008 mpaka leo hawajafanya marekebisho!!! Labda kama ni unapumzika kiaina tu, Havana ni pazuri au nenda SHYNOVO
 
Viva villa pamechoka sana, lodge ya mwaka 2008 mpaka leo hawajafanya marekebisho!!! Labda kama ni unapumzika kiaina tu, Havana ni pazuri au nenda SHYNOVO
mkuu hiyo shynovo imejificha kidogo yaan namaanisha ipo ndani ndani
 
yap man aisee..yaan hapa mtoto anani text kila wakati..mtoto anakaa sinza asa lodge ya mbali kidogo
Vuka nae maji, kama uko na usafiri poa zaid, kigamboni kuna chaka mija hatari
 
Back
Top Bottom