Msaada wa listeria.

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,546
2,989
Je kwa mfano mtoto kazaliwa let's say marekani lakini wazazi wake ni watanzania je huyu mtoto atakuwa raia wa nchi gani?

Nawasilisha
 
Mkuu mtoto anaweza kuwa raia wa nchi zote mbili kwanza atakuwa raia wa Marekani kwa kuzaliwa (citizenship by birth) alaf pia anaweza kuwa raia wa Tanzania hii inatokana na wazazi kuwa watanzania
 
Atakuwa raia wa Tanzania kwa kurithi ila itambidi akifika miaka 18 akane uraia wa nchi moja.
 
Atakua raia wa marekani, ila endapo akija Tanzania anaweza kuupata uraia wa kurithi.
 
Back
Top Bottom