wadau naobeni msaada wa link yoyote ambayo nitakuwa napakulia series mbali mbali, kama vile 24hrs naikosa kwa kuwa sina lik, au kwa msaada zaid naombeni program yoyote ambayo nikiipata na nika install ktk laptop yangu inisaidie, pliz mwenye kujua wadau