Msaada wa link ya kudownload audio driver ya Pc window 7

teetotaller

JF-Expert Member
Dec 16, 2014
307
203
wasalaam wakuu!!!!

kichwa cha habari chajieleza, pc yangu

haitoi sauti na hii imesababishwa na

kupiga window upya audio driver

haijawa installed.

nawasilisha
 
Labda kama utaruhusu updates japo pia sijui kama usemalo ni kweli maana wanaweza msue kwa kufanya hivyo
Wajanja hao maana wanabadilisha EULA na kuondoa support kwa obsolete operating systems. Mfano hai ukinunua iPhone halafu ukaenda kuirepea unaumwa umekiuka makubaliano na badae wanadisable hicho kifaa ulichoweka au ulichorepea
 
Wanadisable vipi wewe? Hiyo kitu waliifanya watu wakapiga kelele wakarelease patch ya kuondoa siyo kweli kwamba ukitengeneza iphone inakuwa disabled.
Na microsoft hawezi kufanya ujinga wa kufanya PC iwe slow maana wanaweza msue kama ilivyotokea kwa iphone kufanya simu zake za iphone 6 na 5 zipunguze performance ili kulinda battery life, si ulisikia walimfungulia kesi wakidai anawalazimisha watu kununua iphone matoleo mapya
 
Kwa issue ya apple wanafanya hivyo endapo ukiservice kwa unauthorized dealer, mfano kuna jamaa alibadili screen ya iPhone 5s k/koo ila screen ikawa haifanyi kazi ipasavyo na kuna mada inatoka kabisa kufanya kazi touch yake, hivyo italazimu mtu kufanya matengenezo kwa authorized dealers tu,
Kwa Microsoft hiyo imekuja kutoka na na issue za kuhamasisha watu ku tumia windows 10 na pia urahisi wa kuactivate na ku tumia pirated copy of windows na ndogo maanasiku hizi wanatumia KMS (key management server) kuactivate windows kila baada ya siku 180
 
HApana siyo kweli, hiyo ya kufanya service kwa unauthorized dealer walifanya watu wakalalamika haikupita hata siku mbili ikatoka patch kutoka kwao wakaondoa hiyo kitu. Hii kitu kwa sasa hakuna kabisa.
Bado wana support windows 7 kufanya hivyo kunaweza kuwapelekea kupigwa fine ya millions of dollars, vitu havifanyiki kwa kuamua amua tu kuna vyombo vina wagovern walaji.
 
Aisee,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom