Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 599
- 206
Habari za muda huu naitaji ushauti wenu wa laptop nzuri ya kununua maana nilikuwa natumia hp notebook core i7 cpu 2.6. Ingawa kwasasa nimeiuza.
Nahitaji laptop nyingine ya bajeti hiyo na zifikilia sana macbook hasa kuanziamacbook air ya 2015 maana mm napenda sana laptop slim kwa upande wa laptop za Macboook sijawahi kutumia kabisa ingawa najua vitu vichache tu(Tofauti ya Macbook air na macbook pro).
Naomba mwenye elimu zaidi naomba anisaidie hasa kwenye mambo ya ulinzi,ubora wake kwa upande wa hardware na software na changamoto zake pia ila kwa upande wa hizi laptop zingine mimi ni mpenzi wa laptop za HP na model nazo ziitaji ni spectre,envy na pavillion zenye hizi sifa. Generation kuanzia 10 na kuendelea.
Core i7
Ghz iwe kwanzia 2.6
Matumizi yangu mm ni ya kawaida tu Siyo mtu wa game kabisa ni mtu wakupiga tu kazi online mfano upwork kusikiliza music kuangalia movie na kusoma vitabu tu.
Ngoja niweke swali langu au shida yangu kwa kifupi zaidi nataka kujua kwa bajeti ya 850K hadi 1.5M kati ya HP SPECTRE,ENVY NA PAVILLION VS MACBOOK ipi Laptop nzuri?