Msaada ndugu zangu nataka kununua Laptop

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
584
250
Habari za muda huu baada ya wezi kuniibia laptop yangu ambayo nilikuwa naitegemea kwa kazi zangu za online na ufundi wa simu muda mwingine. leo tena narudi kwenu kuomba ushauri wa laptop nzuri kwa bajeti ya kati ya USA $400 hadi 500$ kwa upande wangu mm napendaga sana laptop za HP na laptop za ndoto zangu ni hp envy au hp spectre ambazo generation ianzie 10
Na ninapenda zikiwa touch screen.#

Core i 7 au kuendelea
Processor iwe kwanzia 2 na kuendelea(mara nyingi naona hz zinakuwaga zina 1.8 harafu with turbo boost technology harafu wanaandika 4.2 hapo ndio wananiachaga kabisa sielewi hapo speed ni 1.8 au ni 4.2 mtanisaidia kwa ufafanuzi).

Na kama unajua matatizo ya hizi pc za hp envy na spectre naomba pia unijuze.

Na je kwa hiyo bajeti unanishauri nitafute pc gani?

Nakama una seller unayemuamini anayeuza laptop hata mitumba ila iwe grade nzuri naomba unisaidie kunionganisha naye.

Napia mm siyo mpenzi wa magame hivyo gaming pc huwa sizipendelei sana ingawa kama na weza kupata kwa hyo bajeti nilionayo siyo mbaya ukanishauri (nasikia gaming pc zina nguvu sana)
Na pia kama unajua gharama za kufunga GPS kwenye pc naomba pia unijuze maana nimeamini kuibiwa kupo
 

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
35,670
2,000
Vile matapeli wauza vimeo wanawahi kwenye huu uzi😁😁😁
AAP5rQ.jpg
 

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
584
250
Kwann kiongozimaana mm mwenyewe kwenye sekta hii ya umakini nipo gud sana siwezi nunua kitu bila kujua duka lako na risit maana sitaki vitu vya kupigwa mtaani
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom