Msaada wa kuzuia virus kwenye memory card

Msaada wa kuzuia virus kwenye memory card

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
604
Reaction score
218
Ninamemory card yangu ya sandisk ya 64Gb tatzo lake kubwa ni virusi yaan unaweza kuingiza vitu vyako lakini ukakutaa baada ya miezi miwili au 3.

Unakuta baadhi ya nyimbo zina goma goma naombeni msaada kama wakuzui wadudu wasiingie kwenye memory card yangu kama ina wezekana. Sina kawaida ya kurushiwa na mtu nyimbo huwa na download mwenyewe online
 
Inawezekana kabisa memory card hiyo ni feki. Hizi memory za GB kubwa kubwa ni counterfeit sana. Kama ungekuwa na lile kasha lake ulilonunulia ungeweza angalau kupata idea kama ni feki au OG kwa kuGoogle ile Barcode yake.

Ni vigumu sana nyimbo kuCorrupt wakati huna tabia ya kuchomeka sd au simu yako kwenye computer tofauti tofauti.
 
Nio yaan sina hiyo tabia harafu nilipoenda kwa muuzaj akaniambia ninuonho yeye memeory zake zote OG.
 
Nikajua ina corona ioshe na maji safi tiririka ..

BTW tafuta memory za transcend utakuja nipa mrejesho
 
Back
Top Bottom