Msaada wa kuweka background nyeusi kwenye SIM

Msaada wa kuweka background nyeusi kwenye SIM

tiku

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2015
Posts
441
Reaction score
259
Habari wanna jf naomba mwenyekujua anisaidie jinsi ya kuweka black background kwenye Simu ya Samsung Galax j7 prime. Yani isiwe wall paper background yote nninapo fungua ukurasa wa contact, message, wasp, na mengineyo yote kwenye Simu. Nashukuru
 
kwa kwa namna ulivyojieleza na ukimya huu, itakuwa kunachangamoto hapo ila vuta subra watakuja.
 
Nimeweza lkn picha zinatokea kama negative picture
 
Back
Top Bottom