msaada wa kuunlock modem ya zte MF190

Bingley

Senior Member
Apr 25, 2011
103
9
napenda kutanguliza shukrani zangu za dhati kwa wale wote wanaotusaidia kuujua zaidi ulimwengu wa comp.
Bila kupoteza muda modem yangu ni ya ZTE
model: MF 190
imei: 865720012089832
 
ingia Google tafuta software inaitwa DC UNLOCKER 2 CLIENT,ukishaipata ifungue then chomeka modem yako ikiwa na line ya mtandao mwingine(kama modem ni ya eg Airtel weka line ya vodacom) kwenye kibox cha 'select manufacturer' chagua ZTE datacard then click search pale chini,alafu juu kulia click unlocking then click unlock....baada ya sekunde kadhaa utakuwa umesha-unlock modem yako.....
 
napenda kutanguliza shukrani zangu za dhati kwa wale wote wanaotusaidia kuujua zaidi ulimwengu wa comp.
Bila kupoteza muda modem yangu ni ya ZTE
model: MF 190
imei: 865720012089832
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=60428&stc=1&d=1343802942
gonga hapo, download kisha extract then ufungue file limeandikwa dccrap wakati ukiwa umeweka modem yako ikiwa na line isiyo yake..baada ya kuweka modem click atomatic search then itadetect modem yako ikimaliza click unlock and after 5-10sec...whooola..done!!
 
Attachments

  • DC-UNLOCKER.zip
    2.9 MB · Views: 371
asanteni sana wakubwa, imekubali. Lakini sina haja ya kuupdate firmware yake? Maana kuna mtu aliniambia baada ya kuiunlock inabidi uupgrade firmware.
Narudia tena kuwashukuru kwa moyo wenu wa kusaidia na ukarimu. Mmbarikiwe!
 
Hao jamaa hawakosei mkuu no need ya ku update firmware
 
Back
Top Bottom