Msaada wa kutumia line ya simu ya nje hapa Tanzania

Kasanghwa

Member
Oct 27, 2017
33
34
Jamani naomba kwa mwenye uelewa anifahamishe, nawezaje kutumia line ya nje ya Tz, "omantel" to be specific hapa Tanzania?
 
Jiandae na charges za kutosha manake utakua roaming, inawezekana ila itakua roaming the only thing u can do for free ni whtsapp kwa line ya nje
 
Back
Top Bottom