donmasam
Senior Member
- Jun 19, 2013
- 161
- 36
Wanajamvini naombeni kujuzwa hii application ya JF ambayo inaptk kwa smartphonez ni wapi naweza comment post za wana jamii na kuandika post yangu mwenyewee...!???anaejua tafdhali anijuze
Ok nw nmepata ufumbuzi...!!!hii ngoma ilinicheza kidg