Msaada wa kutumia application ya flash player adobe katika galaxy tab2?10".1

Msaada wa kutumia application ya flash player adobe katika galaxy tab2?10".1

Rhino

Member
Joined
May 12, 2011
Posts
11
Reaction score
0
Wadau msaada wa kuinstall flash adobe player katika samsung tab galaxy tab 10.1inagoma inasema haisupport i wonder na mimi nafanya online courses na inahitaji mozilla firefox je nifanyeje wataalamu wa it
 
inatumia andoid version gani? umejaribu kufanya upgrade ya OS kwanza?
 
Duu sijafanya and thanx hw I do it ni version 4.0.03 model gt-p5110
 
Back
Top Bottom