Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,414
Wakuu niliweka phone security kwenye ka simu kangu katochi Nokia 105 sasa nimesahau password na inaomba password. Msaada jinc ya kuifungua nakapenda sana ka simu kangu. Cc Chief-Mkwawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app