Sdm
Member
- Dec 11, 2017
- 40
- 70
Wanasayansi na wataalamu mliosomea masuala haya..naombeni mwenye utaalamu wa kutengeneza app za simu anifundishe au anitengenezee app ya simu ambayo nitaweza kuweka simulizi mbalimbali,habari,video na picha.
Najua wapo wataalamu wengine kwao kufanya kitu kama hicho siyo ishu ni fasta tu..lakini wapo watakaotaka kuifanya hii ishu ionekane ngumu sana.mi nimeomba msaada kwa nyie..lakini suala la malipo litaeleweka baadae...kama una moyo mzuri wa kunisaidia nicheki kwa simu namba 0744507237...pia whatsaap napatikana kwa namba hiyo.Asante.