Asante ngoja nijaribuMkuu inamaana Google Play haipo au?
Kama haipo fanya hivi: Search Google "Download Google Play apk" hafu nenda link link ya apkpure au gusa link hii hapa:
Google Play APK
Hafu install tuone.
Redmi note 8 kaka asante sana nitajaribuUme format ama ume flash?
-kama uliformat na app za Google zimepotea simu yako original haikuja na apps za Google Bali mtu alikuja kuziweka baadae, solution ziweke tena
-kama uliflash mwanzo zilikuwepo na sasa hivi zimepotea huyo alieflash amekuwekea Chinese rom isio na playstore badala ya Global rom, solution weka global rom ama weka manual app za Google.
Sababu hizo app ni nyingi vyema ukaweka Google installer ili ziingie automatic, una redmi ipi? Pia waweza angalia store inayokuja na simu huwa wa naweka hio Google installer.
umeweza kwa njia ipi,njia rahis kabisa fungua getapp kisha shuka chini kabisa utaona apk ina alama ya kijan flani ,ipakue kisha play store itajiintall automatic kutokea apoAsante sana kwa msaada wako nimeweza
@MR mobile@MR MOBILE umeiona hii
Mkuu mimi natumia Redmi 9 global.ila namiss app za redmi kama mi dialer,mi sms na mi contacts.Ume format ama ume flash?
-kama uliformat na app za Google zimepotea simu yako original haikuja na apps za Google Bali mtu alikuja kuziweka baadae, solution ziweke tena
-kama uliflash mwanzo zilikuwepo na sasa hivi zimepotea huyo alieflash amekuwekea Chinese rom isio na playstore badala ya Global rom, solution weka global rom ama weka manual app za Google.
Sababu hizo app ni nyingi vyema ukaweka Google installer ili ziingie automatic, una redmi ipi? Pia waweza angalia store inayokuja na simu huwa wa naweka hio Google installer.
Mkuu, kwanza kabsa tambua kua izo go app zinakuw power by go edition OS kam ilivo simu za google pixelMkuu mimi natumia Redmi 9 global.ila namiss app za redmi kama mi dialer,mi sms na mi contacts.
kila nikiziweka na kuzifanya ziwe default zinacrush!
Je nazitoaje apps kama google dialer,google sms na google contacts kabisa bila kubadili rom na je simu haitasumbua mbeleni?