Msaada wa kutengeneza YouTube channel

Msaada wa kutengeneza YouTube channel

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,027
Reaction score
20,414
Wakuu mwenye kujua kutengeneza YouTube channel naomba anisaidie kwa maelezo ya kina jinsi ya kutengeneza maana Mimi nimejaribu kila njia nimekwama.


Au Kama kuna mtu anaweza kunitengenezea ni vyema.


Nataka kuweka vitu mbalimbali Katika channel hiyo ili kufaidisha jamii kwa ujumla.

Hivyo Kama kuna mtu anaweza hivyo adondoshe maujanja hapo
 
Wakuu mwenye kujua kutengeneza YouTube channel naomba anisaidie kwa maelezo ya kina jinsi ya kutengeneza maana Mimi nimejaribu kila njia nimekwama...
Kwanza inabidi uisajiri na kulipia TCRA,vinginevyo utakamatwa. Pili unahitaji kuwa na email,itakayokuwezesha kufungua hiyo Channel.Sajiri kwanza na TCRA kisha nicheck inbox ntakusaidia kufungua
 
Kwanza inabidi uisajiri na kulipia TCRA,vinginevyo utakamatwa.
Pili unahitaji kuwa na email,itakayokuwezesha kufungua hiyo Channel.Sajiri kwanza na TCRA kisha nicheck inbox ntakusaidia kufungua
Mkuu naskia ni vizuri kutengeneza ndipo anafatilia Usajili kamili
 
Sasa ww vunja sheria kwanza halafu nenda kajisajili utakutana na fine yako au miaka 2 jela. Ulishaona mtu anaiba then anajipeleka polisi
Sawa mkuu ngoja nifuate taratibu hizo
 
Kwanza inabidi uisajiri na kulipia TCRA,vinginevyo utakamatwa.
Pili unahitaji kuwa na email,itakayokuwezesha kufungua hiyo Channel.Sajiri kwanza na TCRA kisha nicheck inbox ntakusaidia kufungua
Mkuu hivi zinazosajiliwa na kulipiwa siyo zile za kibiashara tu??
 
Mkuu naskia ni vizuri kutengeneza ndipo anafatilia Usajili kamili
Angalia hii orodha, Usisikilize maneno ya mtaani Sheria unaijua au uijui itakula kwako.Sajiri kwanza ndo uendelee na mengine
 

Attachments

Flash(SanDisk) yangu imeingia maji nifanye nini iweze kufanya kazi tena maana haisomi kwny device yangu.
 
Flash(SanDisk) yangu imeingia maji nifanye nini iweze kufanya kazi tena maana haisomi kwny device yangu.
Hivi hii ni signature yako mkuu au..., maana kila ninapoingia nakutana nayo au jamiiforums imepigwa na kirusi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my cupboard using mug
 
Back
Top Bottom