kingkimbe
Senior Member
- Jul 11, 2017
- 110
- 53
Wakuu habari za muda huu natumaini mpo powa leo naomba watu wenye uelewa wa kutengeneza beat kwa FL studio wanisaidie. Mimi nina idea ya kutengeneza beat ila kuna vitu sivijui kupiga live kama kinanda na gita hivyo naomba maelekezo na musikilize baadhi ya beat nilizo tengeneza maoni ushauri vinaruhusiwa ila matusi si vyema japo ndio changamoto asante.