Msaada wa kutatua tatizo hili HESLB

Ibnu Nindi

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
388
71
Nime apply Loan HESLB, nimeingiza namba za kidato cha nne vizuri kabisa lakini haijanipa jina la SHULE husika ila JINA LA MTAHINIWA limefika vzuri kabsa.

Kwenye school nambe ndo shida imeandika NO SCHOOL NAME FOUND FOR THIS NUMBER. Na application nimemaliza naogopa kuprinti kwa sababu hyo sida itakuwa nini hapo jaman tupeane mawazo
 
Shule uliyosoma imesajiliwa!?
 
Back
Top Bottom