Msaada wa kutafsiri picha hii kwa madaktari hasa wataalamu wa uzazi

Habari za jioni watu wa Mungu,naomba msaada mezani kwangu Nina hoja nimeletewa na mshirika Fulani kuwa yeye anatatizo La Sperm Infertility,
Nikaona ni vema nikalileta humu kwenu madaktari mnisaidie maelezo ya Kidaktari huku tukiendelea kumuomba na kumsihi Mungu amtendee jambo apate watoto.

Naomba kujua.
1. Husababishwa na nini?
2. Mini Dawa ya kutatua tatizo hilo?
3. Je? Anaweza kupona kidaktari?

8f31a31ae7d6b2699a1ad9b9131a5cf0.jpg

72611bc28c02699ef7d9cfdf33d0d788.jpg

Natanguliza shukrani kwenu..
Hio ni report ya seminal analysis
Yaani kipimo cha male infertility

Report yako inaonesha count ni ndogo ambayo ni 8million per ml wakat normal inatakiwa count iwe 20-300 mill per mil

Pia motility ni mbaya yaani inaonesha 70% ya sperm wako sio motile
Na ili mtu aweze kua fertile lazima sperm wake wawe atleast 60 % motile tena forward progressive movement (wasiwe tu wanatembea bali watembee mwendo wa hatua na in straight foward motion

So kwa report ilivyo mtu anatibika kwani mbaya zaid report ingeonesha mtu ana azoospermia ( no any sperm in ejaculation ) hapo ingekua shida ila kwa hio report ukipata dr.mzur na kukupangia nutritions basi unakua okkkkkkkk pamoja na multivitamins
 
Afadhali kumbe inatibika am so happy for him
 
Majibu mazuri sana ubarikiwe
 
Zitakuwa ndo zile zinaogelea kutoka nje ya k badala ya kwenda ndani
Hapana. Mbegu mkuu huko ndani zinatakiwa ziwe na 'forward progressive movement' ktk harakati za kwenda kurutubisha.
 
Back
Top Bottom