Mimi ni mwajiriwa katika sekta binafsi,jana niliitwa na boss wangu pamoja na hr,wakinituhumu kuhusu utendaji usioridhisha,na wakasema hawawezi kuendelea na mimi kazini.lkn sijawahi kupewa onyo lolote kuonyesha hayo matatizo,na wala sijapewa muda wa kujieleza zaidi ya siku hiyo ya kikao.wakasema tukubaliane separation by mutual agreement.wanipe mshahara wa miezi 3.naomba msaada hapo