Sasa hapo una scan kweli?Anyway, njia rahisi kama ziko kwenye flash au kamera zihamishie kwenye computer na zitengenezee folder na ipe jina.Baada ya hapo nenda kwenye profile ya facebook kuna sehemu inasomeka Photo, click inakupeleka moja kwa moja kwenye upload photo/video.Ukifika hapo,click ili uweze ku-upload picha kutoka kwenye folder iliyopo kwenye computer yako.Iko elewa muneno?Kama bado sema