Msaada wa kusafirisha mazao

Msaada wa kusafirisha mazao

PastorA

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2016
Posts
361
Reaction score
275
Ndugu zangu naomba msaada wenu kwani Nina mazao yangu yapo Bagamoyo nahitaji kuyasafirisha wazoefu naomba mnijulishe ni viroba kama kumi nataka nisafirishe kwa hivi wanaita kirikuu

Natakiwa niwe na nn?
 
bora umeuliza kaka mana barabarani umu kuna shida sometimes na trafic na wahusikao nhoja waje wajuzi
 
Back
Top Bottom