Msaada wa kupunguza ukubwa wa video

Msaada wa kupunguza ukubwa wa video

structuralist

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,230
Reaction score
911
Wadau nimekuwa nikirikodi video kwa kutumia simu yangu,ila changamoto ni kuwa video hata ya dakika 8 inakuwa na MB kubwa kuliko hata video za zaidi ya lisaa ambazo nimedowload. Je kuna namna naweza fanya kupunguza video size ninazochukua kwa kutumia simu ili angalau niweze kurikodi video muda mrefu kidogo? Msaada tafadhali kama inawezekana
 
wadau msaada tafadhali maana kuna video nataka nitengeneze kwa kutumia simu. Wapi akina mwl R.C.T, CYBERTEQ, C6, SHAYO, na wengine wengi tu....ambao mnawwza saidia hii kitu
 
thanks mkuu ngoja nidownload hiyo application na nitaleta mrejesho.

sasa mkuu mimi natumia tecno phantom A iii, kila nikijaribu naona inaniambia download wil start in 3 secnds, je labda ni kwa ajili ya simu zingine za window.........
 
Wadau nimekuwa nikirikodi video kwa kutumia simu yangu,ila changamoto ni kuwa video hata ya dakika 8 inakuwa na MB kubwa kuliko hata video za zaidi ya lisaa ambazo nimedowload. Je kuna namna naweza fanya kupunguza video size ninazochukua kwa kutumia simu ili angalau niweze kurikodi video muda mrefu kidogo? Msaada tafadhali kama inawezekana

umerekodi kwenye format gani mkuu?
 
umerekodi kwenye format gani mkuu?

nilikuwa nje ya mtandao kidogo sory for a late reply, hata sijui maana mimi narekodi tu then video inajisave yenyewe, ila ndio hivyo kavideo ka dakika 5 inakuwa na mb zaidi ua 250 wakati za kudownload zinadakika nyingi ila mb ndogo,
 
niambie makena model ya simu, pia sema kama unarecord kwakutumia native au third party app.
 
mkuu labda niseme hivi,natumia tecno phantom A three,na ninachofanya nakwenda kwenye kamera nakuwa kama nataka kupiga picha lakini nabadisha kwenda kwenye kurikodi video na nikimaliza nabonyeza kitufe cha kurudi nyuma then inajisave automatically, hivyo ndivyo ninavorikodi. Mkuu sijui kama nimejaribu kukuelewesha maana hiyo native au third party appl hata sizielewi. Shukrani mkuu
 
Wadau nimekuwa nikirikodi video kwa kutumia simu yangu,ila changamoto ni kuwa video hata ya dakika 8 inakuwa na MB kubwa kuliko hata video za zaidi ya lisaa ambazo nimedowload. Je kuna namna naweza fanya kupunguza video size ninazochukua kwa kutumia simu ili angalau niweze kurikodi video muda mrefu kidogo? Msaada tafadhali kama inawezekana
jaribu kwenda kwenye settings na ubadili size ya video na video zitakuwa na size ya kawaida,
 
mkuu labda niseme hivi,natumia tecno phantom A three,na ninachofanya nakwenda kwenye kamera nakuwa kama nataka kupiga picha lakini nabadisha kwenda kwenye kurikodi video na nikimaliza nabonyeza kitufe cha kurudi nyuma then inajisave automatically, hivyo ndivyo ninavorikodi. Mkuu sijui kama nimejaribu kukuelewesha maana hiyo native au third party appl hata sizielewi. Shukrani mkuu

nimekuelewa mkuu, sijawahi kutumia hiyo simu lakini, kwanza hebu kwenye app ya camera yako inarecord katika HD au SD, kama iko HD automatically file size lazima itakuwa kubwa. app nzuri katika android ya kuconvert videos ni VIDEO CONVERTER ANDROID, isearch kwenye app store kisha idownload, ina option nyingi sana, pia ni rahisi kutumia, kama una haraka kuna sehem unachagua tu profile ya "reduce size" unaset unataka video yako iwe na mb ngapi...unaacha yenyewe inafanya kazi.
 
ok mkuu,thnks sana ngoja nichek hii application then nitakupa mrejesho mkuu.
 
mkuu nimejaribu sema inagawa video kwenye mb ndogo ndogo sema bado kama tatizo lipo palepale kwakuwa inagawa tu kwenye clip fupi fupi tu
 
Back
Top Bottom