Msaada wa kuplay game ya PS with flash disk

Msaada wa kuplay game ya PS with flash disk

Murano

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
2,056
Reaction score
1,129
habari zenu wakuu..
kama headline inavyosema nataka niweke game ya ps kwenye flash disk je inawezekana ikaplay kama navyocheza na cd? na file liwe kwenye format gani?

ni steps zipi nifate msaada kwa utaalamu huo..

shukran sana.
 
Back
Top Bottom