Msaada wa kupata viza ya Mexico

jey n

Senior Member
Dec 15, 2018
157
142
Habari zenu wakuu,

Nina jamaa yangu amekuwa invited na washikaji zake Mexico, anataka afahamu utaratibu wa kupata visa ya Mexico upoje kama ni mgumu kama wa Marekani au namna gani.
 
Hao jamaa zake hawajui chochote kuhusu hilo? ila Mexico duh
 
Habari zenu wakuu,

Nina jamaa yangu amekuwa invited na washikaji zake Mexico, anataka afahamu utaratibu wa kupata visa ya Mexico upoje kama ni mgumu kama wa Marekani au namna gani.
Mkuu ingia mitandaoni na ku google jinsi ya kupata vita ya Mexico 🇲🇽, mtanzania unahitajika uwe na vita na ni kati ya 30days to 90 days(ndio ina expire),goggle kutafuta balozi za Mexico jirani yetu na mara nyingi wanapenda uwepo pale,kuna documents nyingi(almost 10)za kujaza, mwambie asikate tamaa kama ana Nia atapata tu,unaona jinsi ushenzi wa watanzania wanavyojibia uzi huu yaani ni kukatishana tamaa na jealous za kishenzi tu, raia wa Mexico wengi hawakimbiliii USA ,isipokuwa Mexico ni transit kama Tanzania kwa wakimbizi wa somalia, Ethiopia wanaokimbilia SA,drugs yes ni tatizo ila tatizo hili nalo ni kubwa mno hapa hapa nchini,kinondoni ni rahisi kupata cocaine next corner than to get a bread
 
Ubarikiwe mkuu tungekuwa wote hvyo tungesonga mbele asee.....jamaa atakufanya Mexico kama njia ya kufika USA
 
Back
Top Bottom