Msaada wa kupata mikanda ya saspender kama anayovaaga masako wa itv

Ptz

JF-Expert Member
Aug 23, 2011
522
500
Wakuu salaam, nahitaji kupata mikanda ya saspenda kama anayopenda mzee masako mwanahabari mwandamizi wa itv, tafadhari mwenye kujua inakopatikana hapa Dar anijuze
 

Osaba

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
1,812
2,000
Nenda kwenye mitumba


Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom