Msaada wa kupata kibarua

GOYA MNANDA

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
239
160
Naitwa salum ally nina miaka 27 naishi dar mbagala nimeoa na nina mtoto mmoja.
Nimeitim stashahada ya manunuzi na ugavi (procurement and logistics management) kutoka taasisi ya uhasibu Tanzania may 2012.
Nina uzoefu wa miaka mitatu katika kazi katika masula ya utuzaji wa bohari (storekeeping) msaidizi wa manunuzi assistant supplies officer pia inventory controller kwa muda wote tangia kuitimu nilikua nikijitolea katika taasisi za umma halmashaur na shirika la umma

Naomba msaada ili nipate kibarua katika taasisi yeyote ambayo ina fanya kazi hizo hapo juu nina cv nzur inayinieleza vizur sana ukiguswa na ili na ukiitaji kuona cv kwa msaada zaidi unaweza kutuma email yako ili niku fowardie nk kwa mawasilioano zaidi

Asante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom